Msingi Namelok

Msingi Namelok ni mfuko mdogo. Tunafanya kazi Kenya ya kusini, kijijini Namelok.
Baada ya kuishi kwenye kijiji hicho, ambacho kiko karibu na mlima wa Kilimanjaro, tulianzisha msingi huu.
Azima yetu ni kuwapa watu maji safi ya kunywa.
Tunachimba na kujenga visima vitumiavyo pampu ya kamba.
Gharama ya kuchimba kisima kimoja ni Ksh. 50.000 tu.
Gharama ya pampu ya kamba moja ni Ksh. 50.000 tu.
Shule yenye wanafunzi 800 au jumuiya ya watu 200 yaweza kutumia kisima na pampu ya kamba moja kwa mahitaji yao.
Lengo ni kichimba na kujenga visima vitumiavyo pampu ya kamba 20 katika muda wa mwaka moja.
Pia tunasaidia mashule kwa kuendeleza na kuboresha elimu zitoazo pamoja na kuto vifaa vya shule.
Tunategemea misaada ya fedha kutoka kwenye mashikrika binafsi na vyuo vikuu.
Je, unataka kutusaidia?
Benki akaunti msingi Namelok: 612370259
61.23.70.259 St. Anthonis
Abn-Amro bank te Boxmeer
IBAN:  NL61ABNA0612370259
BIC:    ABNANL2A

Ferdi Verberk na Inge Vloet